Tangazo

March 20, 2012

Picha ya Leo


"Baada ya kupiga kopo mchana kutwa sasa tugawane kila mtu afe na chake....." Huenda hivyo ndivyo walivyokuwa wakizungumza  kina bibi  hawa ambao hujishughulisha na kuombaomba baada ya kunaswa na kamera ya Daily Mitikasi Blog wakihesabu mapato kabla kugawana katika eneo la Namanga Madukani, Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam. Eneo hilo limekuwa na ongezeko kubwa la ombaomba wazee ambapo baadhi yao wamekuwa wakiwalazimisha wasamalia wema kuwasaidia na wengine kuwa wakali hadi kutumia lugha zisizostahili. PICHA/JOHN BADI

No comments: