Tangazo

March 22, 2012

Waziri wa Fedha, Mkulo azindua Bodi Mpya ya Consolidated Holdings Corporations (CHC)

Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo akizindua rasmi Bodi Mpya ya Consolidated Holdings Corporations (CHC), kwenye ofisi za shirika hilo zilizoko jijini Dar es Salaam Machi 22.2012.  Kushoto kwa Waziri Mkullo ni Mwenyekiti Mpya wa Bodi hiyo, Dk. Marcelina Chijoriga. Katika picha ya pili Waziri Mkullo akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi hiyo. PICHA/JOHN LUKUWI WA MAELEZO

Waziri Mkulo akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi baada ya kuizindua.

No comments: