Tangazo

March 19, 2012

Waziri Samia akutana na Viongozi wa Walemavu Wasioona Tanzania

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan (kulia), akizumgumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Nchini Tanzania, Bw. Greyson Lazaro Mlanga walipomtembelea Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam Machi 19.12. [Picha na Ali Meja]

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan alipokuwa na  Mazungumzo na Viongozi wa chama cha  walemavu wasiooma Nchini Tanzania wakati walipomtembelea Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja]

No comments: