Tangazo

March 19, 2012

Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfuko wa Bima ya Afya: Rais mstaafu Ben Mkapa apewa Tuzo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa  (katikati) na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye katika uzinduzi wa Maadhimisho ya Miaka  10 ya Mfuko wa Bima ya Afya kwenye  ofisi kuu ya mfuko huo barabara ya Kilwa  jijini Dar es Aalaam Machi 19, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa Tuzo ya Kuenzi mchango wake katika uanzishwaji wa Mfuko wa Bima ya Afya katika uzinduzi wa  maadhimisho ya miaka 10 ya mfuko huo uziliofanyika kwenye ofisi kuu ya mfuko, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Machi 19, 2012.Kushoto ni Waziri Mkuu, Frederick Sumaye ambaye pia alipewe tuzo hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: