Tangazo

April 11, 2012

Breaking Neeeeews: Lulu afikishwa Mahakamani Kisutu Leo

Habari zilizotufikia hapa Daily Mitikasi Blog zinasema kuwa Binti Elizabeth Michael maarufu kama Lulu anayetuhumiwa kwa Kifo cha Msanii Nguli wa Filamu Marehemu Steven Kanumba amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kushtakiwa kwa shitaka la Kuua kwa kutokukusudia 'manslaughter' na amepelekwa rumande baada ya kusomewa shtaka hilo. Taarifa zaidi mtajuzwa.

No comments: