Mwanasheria wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bi. Christina Ilumba (kulia)akimfunika shuka mtoto Rehema Masanja ambalo ni sehemu ya msaada uliotolewa na mfuko huo kwenye Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Kolandoto mkoani Shinyanga wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wadau Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani humo. Anayeshuhudia ni Muuguzi Mwandamizi wa Hospitali hiyo, Bi. Rose. |
No comments:
Post a Comment