| Nape akisoma ujumbe kwenye moja ya mabango waliyofika nayo wanafuvyo hao. |
Wanavyuo wakionyesha bango la kuwataka wasaidizi wa Rais kuwajibika inapobidi.
|
Vijana wakionyesha bango la kuwataka 'magamba' waendelee kujitoa CCM..
|
| Vijana hao wakionyesha bango lenye ujumbe mahsusi kuhusu maana ya Mapinduzi. |
| Nape akisoma ujumbe uliloonyesha kumvutia zaidi kwenye moja ya mabango ya wanavyuo hao. |
No comments:
Post a Comment