Mjumbe wa Shirika la Huduma za Kisheria (Legal Services Facility) ambaye pia ni Balozi wa Denmark nchini, Bw. Johhny Flentoe (katikati) akimweleza Waziri wa Katiba na Sheria Bw. Mathias Chikawe (kushoto) shughuli za shirika hilo alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo Bi. Joaquine De Mello. |
No comments:
Post a Comment