Tangazo

May 14, 2012

Buriani Dada Rachel Mwilligwa

 Geneza la mwili wa marehemu Rachel Mwiligwa likiwa kanisani leo wakati wa ibada ya mazishi.

Mkurugenzi Mtendaji wa New Habari Corporation, Hussein Bashe akitoa heshima za mwisho.


Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akitoa heshima za mwisho. Kulia ni Mbunge wa Kinondoni, Idd Azan.
Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya wanamuziki wa bendi yake katika ibada ya kuaga mwili Rachel.

Mhariri wa gazeti la Bingwa, Grace Hoka akilia kwa uchungu.

Jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Mhariri wa Michezo wa Gazeti la Mtanzania, Rachel Mwiligwa ukishushwa katika Kanisa la Anglikana Ubungo Dar es Salaam leo kwa ajili ya ibada.

No comments: