Tangazo

May 30, 2012

"Hongera Bi. Christina Rweyemamu kwa kupata Mapacha Watatu"

Mkazi wa jiji Christina Rweyemamu akiwa mwenye tabasamu huku akiwa na watoto wake mapacha watatu wote wa kike (kutoka kushoto), Nyangoma, Nyakato na Nyamwiza, aliojifungua Mei 05.2012, katika Hospitali ya Dk. Kairuki kama alivyonaswa na kamera yetu nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.  PICHA ZOTE/DENNIS ISHENGOMA
 

"Mapacha watatu, Nyangoma, Nyakato na Nyamwiza, wakiwa wametulia.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana MUngu akutie Nguvu na kukupa hekima ya kuwatunza watoto hawa