| Wasanii wa Kundi la THT wakilishambulia jukwaa. |
| Wasanii wa luninga, wanamuziki na Wasukuma kabumbu wakiwa katika uzinduzi 100% TZ Flava. |
| Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akiwa na Wasanii wa luninga, wanamuziki na Wasukuma kabumbu wakiwa katika uzinduzi 100% TZ Flava. |
| Mdau kutoka kampuni ya Executive Solutions Ltd, Ibrahim Kyaruzi akiwa katika picha pamoja na Wasanii wa Luninga. wa pili kushoto ni Aunt Ezekiel. |
| Nami Mzee wa Mitikasi sikucheza mbali na wasanii hao. Wa tatu kushoto ni Mahmoud Zubery wa Bin Zubery Blog. |
| Hartman Mbilinyi (kushoto) na JB. |
No comments:
Post a Comment