Tangazo

May 22, 2012

Maonyesho ya Mabadiliko ya Tabianchi Bonn Ujerumani

Maafisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi Emelda Adam (kushoto)  na Mhandisi Alphonce Bikulamchi (wa pili kulia), wakipata maelezo toka kwa raia wa Uswizi ya namna ambavyo Switzerland inavyoweza kusaidia mfuko wa mabadiliko ya tabia nchi, katika maonyesho nje ya kumbi za mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Bonn. (Evelyn Mkokoi)

No comments: