Tangazo

May 22, 2012

RAIS KIKWETE AMUAPISHA PROF. MARK MWANDOSYA KUWA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS

Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum Profesa Mark Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.Na watatu kulia ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu.
                                 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Mei 22, 2012 amemwapisha Mheshimiwa Prof. Mark J. Mwandosya kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam.
                                                         ……..Mwisho…..

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
22 Mei, 2012





No comments: