Tangazo

May 24, 2012

Richard Muyungi azungumza na Wawakilishi wa Afrika katika UNESCO

Bw. Richard Muyungi wa Ofisi ya Makamu wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Dunia ya Sayansi na Taaluma ya Mabadiliko ya Tabianchi, akizungumza na Wawakilishi wa Afrika  katika UNESCO, kuhusu Afrika na mabadiliko ya tabianchi kama mgeni mwalikwa wakati wa kufunga (Africa UNESCO week) huko Paris Ufaransa. (Na Evelyn Mkokoi)

No comments: