Tangazo

May 18, 2012

UONGOZI WIZARA YA HABARI ZANZIBAR WAKUTANA NA RAIS DK. SHEIN


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar jana. Kushotoni Makamu wa Kwanza wa Rais,  Maalim Seif  Sharif  Hamad.  [ Picha  na Ramadhan Othman wa Ikulu Zanzibar]

No comments: