Tangazo

May 18, 2012

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira, Richard Muyungi afanya mahojiano maalum na DW- Radio Swahili

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi katika mahujiano maalum ya kipindi cha Radio idhaa wa kiswahili ya Radio Deutsch Welle mjini Bonn Ujerumani.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais,  Bw. Richard Muyungi katika mahujiano maalum Mtangazaji Sudi Mnete (kulia) katika kipindi cha Radio katika idhaa wa kiswahili ya Radio Deutsch Welle mjini Bonn Ujerumani.(Picha na Evelyn Mkokoi)

No comments: