Tangazo

May 18, 2012

Waziri wa Michezo, Dk. Mukangara aongoza Mamia kumuaga Mafisango

 Askari wa Usalama Barabarani akiongoza msafara wakati mwili wa marehemu, Mafisango ulikiwasili katika viwanja vya TCC Club.


   Beki wa Simba, Juma Nyoso pamoja na John Boko wakiwa wamebeba jeneza.


Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika viwanja vya Sigara jijini Dar es Salaam wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Patrick Mafisango. 

 Mlezi wa klabu ya simba, Prof. Philimon Sarungi akimfariji Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage.

Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara akitoa heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Patrick Mafisango.

Kocha wa Simba akitoa heshima za mwisho.

 Mamia ya wadau wa Soka wakiwa wamekusanyika katuika viwanja vya Sigara TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es Salaam kuaga mwili wa aliyekuwa kiungo wa Simba. Patrick Mafisango mchana huu.
Maphotozzz zaidi tembelea www.francisdande.blogspot.com

No comments: