Tangazo

June 25, 2012

Bia ya Ndovu yapokea Tuzo ya Dhahabu


Mpishi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Gaudence Mkolwa, akipokea tuzo ya kimataifa ijulikanayo kama “Grand Gold Award”kutoka kwa Meneja wa bia ya Ndovu Special Mult, Pamela Kikuli, baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Wateja wa kampuni ya kimataifa ya kusafirisha mizigo DHL Busegi Kulwa (kulia), jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Habari na Mawasiliano, Edith Mushi.

 Grand Gold Award

Meneja wa Wateja wa kampuni ya kimataifa ya kusafirisha mizigo DHL, Busegi Kulwa akikabidhi tuzo ya dhahabu yenye hadhi ya juu zaidi ya ubora wa bidhaa kimataifa ijulikanayo kama “Grand Gold Award” kwa Meneja wa bia ya Ndovu Special Mult, Pamela Kikuli, baada ya kinywaji hicho kinachozalishwa na kampuni ya bia Tanzania TBL, kupata tuzo hiyo kwa mara ya pili mfululizo.

No comments: