| Watu kutoka Temeke wakiingia viwanja vya Jangwani. |
| Wa Mbagala wakiingia viwanja vya jangwani. |
| Wa Ilala wakiingia viwanja vya Jangwani. |
| Watu wakionyesha kuwa na shamrashamra baada ya kukaa nafasi zao. |
| Wilaya ya Kinondoni wakishangilia baada ya kutambulishwa. |
| Mama aliyejipamba ki-CCM. |
| Vyombo vyenye nguvu za kutosha kufanya kila kinachosemwa kisikike barabara. |
| Ni CCM tu Jangwani. |
| Tofauti na vyama vingine, katika mkutano huo suala la kutunza mazingira limezingatiwa. Hivi ni vyoo vya muda vilivyowekwa viwanjani hapo. |
No comments:
Post a Comment