Tangazo

June 4, 2012

Wiki ya Mazingira Moshi

Afisa kutoka idara ya muungano ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi martha Mashuki, akitoa elimu ya muungano kwa Bw. Mohamed Ngwalima mkurugenzi wa  wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa katika maonyesho ya wiki ya mazingira kitaifa Mkoani Kilimanjaro, kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo kilele chake ni tarehe 5June ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani Mh Dtk Jakaya Mrisho Kikwete (Picha na Ali Meja wa Ofisi ya Makamu wa Rais)
 

Bw. Emmanuel Marija , Mhamasishaji kutoka taasisi isiyo ya serikali inayojishughulisha na masuala ya utunzaji wa mazingira,akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la ofisi ya makamu wa rais katika maonyesho ya wiki ya mazingira kitaifa Mkoani Kilimanjaro, kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo kilele chake ni tarehe 5June ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani Mh Dtk Jakaya Mrisho Kikwete (Picha na Ali Meja wa Ofisi ya makamu wa Rais)

No comments: