Tangazo

July 6, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha  Baraza la Mawaziri jana  Julai 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.PICHA NA IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na baadhi ya mawaziri na viongozi waandamizi serikalini  baada ya kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri  Julai 5, 2012 katika ukumbi wa TAMISEMI Dodoma.

No comments: