Tangazo

July 5, 2012

Majaji wa Epiq Bongo Star Search watembelea Banda la Zantel katika Maonyesho ya Saba Saba

Jaji Mkuu Madame Rita, Salama Jabir wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Zantel.

Master J akipiga picha mbele ya Tangazo lake la Epiq Moto.

Jaji Mkuu Madame Rita, Salama Jabir na Master J wakitoka kwenye banda la Zantel

Salama J na Master J wakichat na wanafunzi nje ya Banda la Zantel.  Kwa Hisani ya Dina Ismail Blog

No comments: