Tangazo

August 1, 2012

Kutoka Bungeni Leo



Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akielekea ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo Aug 1.2012 na kusoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha,2012-2012 (Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).

Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Asiye na Wizara Maalumu Prof, Mark Mwandosya akitoa shukurani kwa Serikali na Wananchi waliomuombea wakati akiwa mgojwa hadi kupata nafuu na kuweza kuhudhuria tena katika vikao vya Bunge ,mjini Dodoma.


Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (kulia) akitoa maelezo binafsi kwa waandishi  wa habari kuhusu tuhuma za rushwa dhidi yake hususan kuelekea katika kupitisha bajeti ya Wizara ya Nishati na madini. Kushoto ni Prof. Koyela Kahigi (CHADEMA).

No comments: