Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR |
No comments:
Post a Comment