Tangazo

August 24, 2012

Waziri Mkuu Pinda aongoza mamia kumzika Kapteni James Yamungu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole, Betty Yamungu, mjane  wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kapteni James Yamungu katika mazishi ya liyofanyika Kibaha Agust 24, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwili wa Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Marehemu Kapeni James yamungu ukiwekwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika Kibaha Agust 24, 2012. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi laaliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Kapteni James Yamungy katika mazishi yaliyofanyika Kibaha Agust 24, 2012. (Picha na Ofisi aWaziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni  Jame Yamungu katika mazishi yaliyofanyika Kibaha Agust 24, 2012. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: