Tangazo

September 17, 2012

Rais Dk.Kikwete akutana na Rais Mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano na Katibu Mkuu wa SADC, Dk. Thomas Salomao

Rais Dk. Jakaya  Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano na kufanya nae mazungumzo.


Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano (wapili kushoto)pamoja na katibu mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini Mwa Afrika SADC Dr. Thomas  Salomao ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(picha na Freddy Maro).

No comments: