Tangazo

October 15, 2012

CHAMA CHA WAKUTUBI KUTOKA FINLAND (FLA) CHATOA MAFUNZO YA ICT KWA WAKUTUBI NCHINI


 Mratibu wa Mradi wa Chama cha Wakutubi kutoka Finland (Finnish Library Association- FLA), Mama Marjatta Lahthi (aliyesimama) akitoa mada kwa wakutubi kutoka maktaba mbalimbali hapa nchini wanaohudhuria mafunzo ya  matumizi ya Kompyuta jinsi mradi wake utakavyosaidia  baada yakutoa mafunzo mbalimbali ya matumizi ya Kompyuta jijini Dar es Salaam Oktoba 15.2012. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)

Baadhi ya wakutubi wakifuatilia mafunzo hayo.

No comments: