Vijana wakiwa katika mazoezi ya viungo ambayo yanasaidia kuwafanya wawe na pumzi ya kuimba.
Kila mmoja akijiachia kwa bidii kufanya mazoezi.
Akinadada nao hawapo mstari wa nyuma katika kufanya mazoezi.
Mazoezi ya viungo yanaendelea, ambapo vijana wengi walipendezwa nayo japo ilikuwa ni mara ya kwanza walionekana kuchoka.
Baada ya kumaliza mazoezi ya viungo vijana walirudi darasani kwa ajili ya kupata masomo zaidi, mwalimu Kibaso akiwaimbisha wanafunzi wake.
Wanafunzi wakimsikiliza mwalimu Magawa ambaye aliwafundisha mambo mengi likiwemo suala la kujua aina ya muziki.
No comments:
Post a Comment