Tangazo

November 14, 2012

MultiChoice yapunguza malipo ya mwezi kwa 10%

Novemba 13, 2012

Kampuni ya MultiChoice imetangaza punguzo la asilimia 10 ya malipo ya mwezi kwa wateja wa televisheni kwa vipindi vya DStv litakaloanza kesho Novemba 15, 2012.

Meneja Mkuu wa MultiChoice Tanzania, Peter Fauel alisema punguzo hilo litawawezesha wateja wao kulipia huduma za matangazo ya televisheni ya kituo hicho kwa gaharama nafuu.

Fauel alisema kwa wateja watakaokuwa wamelipia tayari huduma hiyo ndani ya mwezi huu, wataendelea kutumia hadi pale mwezi utakapokuwa umeisha, kisha wataanza na bei mpya ya punguzo kuanzia mwezi unaofuata ila wahakikishe huduma yao kutokatika. 

"Tumedhamiria kuwapunguzia wateja wetu gharama kubwa kulingana na hali halisi ya maisha ya mwananchi wa kawaida," alisema Fauel.

Meneja mkuu huyo alisema, kuwa kama kawaida yao huwapa wateja wao unafuu wa bei kulingana na kipato chao, hivyo punguzo hilo litawanufaisha kwa kiwango kikubwa ili kila mmoja afaidi burudani.
Alisisitiza kuwa DStv itaendelea kuwapatia Watanzania na Waafrika kwa ujumla vipindi vyenye ubora kwa vile wamewekeza katika vipindi vipya.

Kwa wateja watakaonufaika na ofa hii, wataweza kupunguza gharama za kulipia huduma yao ya DStv kwa 150,000 kwa mwaka!

Fauel akaongeza kwamba “Tunawaahidi wateja wetu huduma bo    ra na kwamba kwetu mteja ni mfalme. Mtandao wetu wa usambazaji unazidi kupanuka na sasa tupo kila mkoa wa nchi. Pia tunafurahi kwamba sasa tuna ofisi zetu Kariakoo na supermarket ya Uchumi iliyopo barabara ya Pugu. Hii itawarahisishia wateja wetu kupata bidhaa na huduma zetu kwa haraka zaidi.

MultiChoice announces a 10% discount promotion on subscription!

MultiChoice has announced an incredible offer for DStv subscribers in the wake of the festive season. Effective 15th November 2012 the Pay-Tv provider will be offering a 10% discount promotion off subscription rates to residential subscribers who make payments before their subscription expires. This means that each month that a subscriber pays before his service expires they will receive a 10% discount on the following month’s payment.

“We are mindful of the current economic challenges and the ever rising cost of living.  As a family-oriented company, we are always exploring ways to bring our customers the best deals and the best home television viewing experience and the 10% discount promotion has been introduced for the benefit of customers. Customers will now have an opportunity to pay less than what they were previously paying,” said Peter Fauel, General Manager of MultiChoice Tanzania.

For subscribers who take advantage of the special offer, the 10% discount translates to saving up to Tshs 150,000 a year, a substantial saving!

 Mr. Fauel emphasized that DStv will continue to avail its subscriber’s quality programming and more value. “The festive season is fast approaching and this is great family time. DStv’s premium family channels rate amongst the best in digital pay television channels in the world and can be benchmarked against international peers. The DStv packages offer unrivalled home entertainment options for the whole family that incorporates the best children’s programming, news, movies, documentaries and sport. DStv packages also give subscribers flexibility in price and choice without compromising quality or variety.”

He further adds: “We are committed in improving our service levels and that our customers remain a top priority. Our distribution network is expanding as our presence is in every region of the country. We are also proud to have opened a new outlet in Kariakoo and Uchumi supermarket along Pugu road to enable our customers easy access to our products and services.”

No comments: