Mpenzi wa timu ya Yanga akiwa na furaha ya kuzawadiwa mpira na mtangazaji wa bia ya Kilimanjaro baada ya kushinda shindano la kupanga kupanga kikosi cha timu hiyo akimshinda shabiki wa Simba. |
Wasanii wa Kilimanjaro Premium Lager wakitoa burudani kabambe kupitia 100% TZ FLAVA maeneo ya Kibaha. |
Shabiki wa timu ya Simba akifurahia jezi ya timu yake aipendayo. |
Shabiki wa Yanga naye akifurahia zawadi yake. |
Mteja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager huko Tabora akicheza kwa hisia na kuonyesha uTanzania wake halisi. |
Mshereheshaji katika Promosheni ya 100% TZ Flava, (kulia) akiwapatia zawadi ya mpira mashabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager huko Mafinga mkoani Iringa. |
Mteja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, (kushoto) akipokea zawadi ya mpira kutoka kwa mshereheshaji wa promosheni ya 100% TZ Flava, kupitia bia hiyo huko Mafinga Mkoa wa Iringa. |
No comments:
Post a Comment