Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria sherehe ya harusi ya Mjuni na Dorothea Makubo iliyofanyika Katika Ukumbi wa Mlimani City Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012
Hii ndio Kamati Nzima ya Maandalizi ya Sherehe ya Harusi ya Mjuni na Dorothea Makubo iliyofanyika Jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012 katika Ukumbi wa Mlimani City
Baba Mzazi na Mama Wa Bwana Harusi Mh Mjuni Makubo wakitoa nasaha kwa watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe fupi kufanyika katika ukumbi wa mlimani city jumamosi ya tarehe 1 Desemba 2012.
Wazazi wa Bibi Harusi wakitoa Nasaha kwa Watoto wao mara baada ya kufunga ndoa takatifu na sherehe kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City jumamosi ya Tarehe 1 Desemba 2012
Kwa Mila Za Kihaya Mwanaume anapooa Wazazi wake umkabidhi Mkuki Kwaajili ya Ulinzi na Sio kwaajili ya Kumdhuru na Kumpiga Mkewe.
Mzee Makubo (Baba Mzazi ) wa Bwana Harusi Mjuni Makubo Akimvalisha Kanzu ikiwa kama ishara na Mila za kihaya kwamba Ameshakuwa na anaweza Kuchangia katika Vikao vya Watu wazima
Bwana na Bibi Harusi Mjuni Na Dorothea Makubo wwakisubiri kukata keki tayari kwa kulishana ikiwa ni ishara ya Upendo katika Ndoa yao.
December 3, 2012
MJUNI MAKUBO ALIVYONG'AA NA MKEWE DOROTHEA MJUNI

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment