Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kijadili jambo na Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Ahmed Ali (kushoto) na Sheikh wa msikiti wa Buswelu, Athumani Ali katika kikao cha kujadili mgogoro wa uchinjaji wanyama kati ya Waziri Mkuu na viongozi wa dini za Kikristo na Kiislamu kilichofanyika kwenye ukumbi wa Benki kuu jijini Mwanza Februari 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment