Tangazo

April 11, 2013

AMANDUS NA PAULA WAMEREMETA


Bwana Amandus Komba na Bi. Paula Sichizya wakifunga ndoa katika Kanisa la Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili la Mavurunza lililopo Kimara Suka jijini Dar es Salaam Aprili 06.2013 na baadae kufutiwa na tarija kali ya kukata na shoka iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Greenleaf Palace Korogwe jijini. Bwana Harusi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Media Solutions Ltd wachapishaji wa magazeti ya ThisDay na KuliKoni na Bibi Harusi ni Muhitimu wa Chuo cha Mwalimu Nyerere Kigamboni.

Bwana na Bibi Amandus wakimkabidhi keki mwenye kiti wa kamati ya maandalizi ya harusi yao.


Ngoma ya Ligambusi ilichezwa katiuka tafrija hiyo.

1 comment:

Anonymous said...

kijana mmependeza sananaaa..