Katibu Tawala wa wilaya ya Iringa Elvin Mwakajinga (katikati) akisaidiana kupanda Miti katika Viwanja vya Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa, na Meneja wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam (kushoto) na Meneja Mauzo wa Grandmalt mikoa ya Iringa, Njombe na Songea, Raymond Degela. Upandaji mitio huo ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana. |
No comments:
Post a Comment