Masoud Said (38), mkazi wa Mbeya akifurahia kitita cha 10,000,000/- alizozawadiwa na DStv kwenye campaign ya DStv Rewards. Kushoto ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Furaha Samalu na Meneja wa Fedha wa kampuni ya MultiChoice Tanzania, Francis Senguji.
Kila wiki, DStv wamekuwa wakitoa 5,000,000/- kwenye droo maalum kwa wateja wake wanaofanya malipo kabla ya akaunti zao kukatika.
Kila wiki, DStv wamekuwa wakitoa 5,000,000/- kwenye droo maalum kwa wateja wake wanaofanya malipo kabla ya akaunti zao kukatika.
No comments:
Post a Comment