Tangazo

April 15, 2013

WAZIRI MKUU PINDA AFUNGUA SEMINA YA ALBINO BUNGENI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa semina ya wabunge kuhusu masuala ya Albino baada ya kuifngua kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma, Aprili13, 2013. Kuliani Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr.Seif Rashid.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa semina ya wabunge kuhusu masuala ya Albino baada ya kuifngua kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni Mjini Dodoma, Aprili13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: