Tangazo

April 15, 2013

CCM YATIKISA RUAHA, KILOSA MKOANI MOROGORO


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro , Aprili 14, 2013.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM, uliofanyika Aprili 14, 2013 katika Kijiji cha Ruaha mkoani Morogoro. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments: