Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifugua Mkutano Mkuu na Mkutano wa mwaka wa Tanzania Private sector Foundation (TPSF) kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 16,2013. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na katikati na Mkurugenzi Mkuu wa TPSF, Gosfrey Simbeye. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
No comments:
Post a Comment