Tangazo

November 6, 2013

DJ Rankim Ramadhan afariki dunia.

Taarifa zilizoifikia Blog hii jioni ya leo zinapasha kuwa mmoja wa Ma Dj Maarufu sana hapa jijini Dar, Dj Rankim Ramadhani amefariki Dunia leo mchana na inaelezwa kuwa mwili wake umepelekwa hospitali ya Mwananyamala.

Aidha kwa taarifa tunaomba tuendelee kuvuta subira, tutazidi kufahamishana kwa kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi -AMEN.

No comments: