Tangazo

November 6, 2013

NHIF yaipiga jeki Hospitali ya Frelimo mkoani Iringa

Mganga Mkuu wa Manispaa ya Iringa, May Alexander (kulia), akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Balozi Ali Mchumo (wa pilikushoto), alipotembelea katika hospitali Frelimo mkoni Iringa baada ya Mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Bima ya Afya mkoani huo Novemba 06.2013. 
Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Balozi Ali Mchumo akikabidhi mashuka 60 yenye thamani ya  zaidi ya shilingi laki 870 kwa Kaimu Mkurugeni wa Manispaa ya Iringa, Immakulata Senje kwa ajili ya hospitali hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Balozi Mchumo akitandika mojawapo ya vitanda katika wodi ya akina mama katika hospitali ya Frelimo baada ya kutoa msaada wa mashuka 60 hospitalini hapo. Picha na Luhende Singu wa NHIF Iringa

No comments: