Tangazo

January 22, 2014

Mbunge wa Chalinze Said Bwanamdogo (CCM) afariki dunia

 Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndugu wa marehemu.

No comments: