Tangazo

May 31, 2014

MTAALAM WA TIBA ASILIA DR. MWAKA ATEMBELEA IDHAA YA KISWAHILI YA DW

Dokta Mwaka Juma (kulia), akiwa na mkuu wa Idhaa ya Kiswahili DW, alipotembelea DW akiwa katika ziara ya mafunzo nchini Ujerumani na hasa kustawisha tiba mbadala kwa afya. Pamoja na DW anatembelea vyuo na taasisi mbalimbali za tiba.
Dokta Mwaka Juma akisalimia na Abdul Mtullya.
Dokta Mwaka Juma akiwa na Josephat Charo.
Dokta Mwaka Juma akiwa na Samia Othman pamoja na Zainab Aziz.
Mohamed Khelef wa DW na Dokta Mwaka Juma.

No comments: