Tangazo

October 16, 2014

MWILI WA MENEJA UHUSINO WA TTCL AMINI MBAGA WAAGWA DAR, KUZIKWA LEO SAME KILIMANJARO

Wanafamilia wakiwa katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL, marehemu Amini Elias Mbaga. Ibada hiyo ilifanyika katika Kanisa la KKT Sinza Kumekucha. Mazishi yanatarajiwa kufanyika Same Mkoa wa Kilimanjaro leo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Kamugisha Kazaura (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TTCL, Edward Emmanuel wakiwa katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu, Amin Elias Mbaga iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waombelezaji wakiwa katika ibada ya kuaga mwili.

Waombelezaji wakitoa heshima za mwisho.
Waombelezaji wakitoa heshima za mwisho.
Waombelezaji wakitoa heshima za mwisho.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TTCL, Edward Emmanuel akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu, Amini Elias Mbaga katika Kanisa la KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Kamugisha Kazaura akitoa heshima za mwisho wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu, Amini Elias Mbaga iliyofanyika Kanisa la KKKT Sinza Kumekucha jijini Dar es Salaam.
Kwaya ikiimba nyimbo za maombolezo wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa TTCL marehemu Amini Elias Mbaga.
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), marehemu Amini Mbaga.

No comments: