Meneja wa Benki ya NBC Martin
Nkanda (katikati), akikabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa ajili ya
waathirika wa mvua ya mawe kwa wakurugenzi wa halmashauri tatu za Wilaya
ya Kahama katika hafla iliyofanyika Kahama, Shinyanga juzi. Zaidi ya watu 40
walisemekana kupoteza maisha huku wengine 82 wakiachwa na majeraha makubwa
baada ya mvua kubwa iliyoambata na upepo mkali kwa muda wa takriban masaa
matatu kuvipiga vijiji vitatu vya Wilaya ya Kahama Machi 3 mwaka huu na
kuharibu nyumba, mashamba na mifugo. |
No comments:
Post a Comment