Tangazo

April 22, 2015

WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA MAKAMU MWENYEKITI WA BARAZA LA BIASHARA LA CHINA AFRIKA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara  la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini  kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha  Tanzania - China Promotion Centre, Bw. Xian Ding. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Biashara  la China na Afrika ( Vice Chairman of China Africa Business Council, Bw. Huarong Zhang kabla ya mazungumzo yao Ofisini  kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam,Aprili 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: