Tangazo

May 16, 2015

NEC KUONGEZA MAJIMBO

 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano na Viongozi wa vyama vya siasa ambapo alizungumzia zoezi la kugawa Majimbo ya Uchaguzi.
 Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Julius Malaba akifafanua njia zitakazotumika katika kugawa majimbo ya uchaguzi kwenye mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
 Mwenyekiti wa Tumeya uchaguzi akifafanua jambo wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa.
 Profesa Ibrahimu Lipumba akichangia mada wakati wa mkutano wa Tume ya Uchaguzi na vyama vya siasa.
 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye
 Viongozi wa Tume ya Uchaguzi wakichukua maoni ya wachangiaji hoja katika mkutano huo na viongozi wa vyama vya siasa.

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa mkutano wa Tume ya uchaguzi na vyama vya siasa
Mwenyekiti wa chama cha NLD Dk. Emmanuel Makaidi akizungumza wakati wa mkutano huo na kuitaka tume iache kufanya kazi wakati wa uchaguzi tu.
(Picha zote na Adam Mzee)

No comments: