Tangazo

July 11, 2015

KAMPUNI YA HUAWEI ILIVYOZINDUA SIMU YA P8

 Mkurugenzi wa  Masoko na bidhaa wa Huawei ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Jaco Van Zyl akielezea matumizi  simu  mpya ya Huwei P8 wakati wa  hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika klabu ya Country nchini Afrika ya Kusini.
Maofisa waandamizi wa kampuni ya Huawei wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu ya kisasa ya P8 uliofanyika katika klabu ya Country mjini Johanessburg nchini Afrika ya Kusini.
Mkurugenzi wa  Masoko na bidhaa wa Huawei nchini Afrika Kusini Yudi Rambaran akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu  mpya ya P8 katika klabu ya Country nchini Afrika ya Kusini wengine pichani kutoka kulia ni maofisa waandamizi wa kampuni hiyo ambao ni Chris Chetty ,Cameron Perumal,Charlene Munillal na Jaco Van Zyl
 Wafanyakazi wa kampuni ya Huawei wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu ya kisasa ya P8 uliofanyika katika klabu ya Country mjini Johanessburg nchini Afrika ya Kusini.
 Maofisa waandamizi wa kampuni ya Huawei wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu ya kisasa ya P8 uliofanyika katika klabu ya Country mjini Johanessburg nchini Afrika ya Kusini.

Shamra shamra zilitawala katika ukumbi wa klabu ya Country wakati wa uzinduzi huo.

No comments: