Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha
Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo kwa
wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya
mafunzo Mjini Morogoro.
Meneja Uhusiano wa Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw. Mazehiew Folleto (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa
tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini
Morogoro.
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku
Tanzania (TLTC) na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa
(Kulia) akiwaongoza wageni kutoka Bodi ya Tumbaku na Masoko ya Zimbabwe
walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini Morogoro.
Meneja Mapokezi wa Tumbaku kwenye
Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Nico Zambetakis akifafanua jambo kwa
wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya
mafunzo Mjini Morogoro.
No comments:
Post a Comment