Tangazo

January 11, 2016

MTEMVU MGENI RASMI MKUTANO WA UZINDUZI WA MAADHIMISHO MIAKA MITATU YA KILAKALA SPORTS CLUB

   Mtemvu akizungumza jambo wakati wa mkutano huo wa uzinduzi wa kikundi hicho (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLO
 Mtoto Shivo Ndey akitowa shoo akiwa amebebwa na Mjanamali Ndey katika Mkutano wa Uzinduzi wa  Kikundi cha Kilakala Club kwa kutimiza miaka mitatu
 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke na nikamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam, Abbas Mtemvu akisalimiana na Diwani  wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amiry Bakari 'Osama'
 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye ni kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam, Abbas Mtemvu akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo alikuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Uzinduzi wa  Kikundi cha Kilakala  Club kwakutimiza miaka mitatu  
 Mtoto Shivo Ndey (wa kwanza kushoto) akikabiliana na mmoja wa wanafunzi Juma Hamisi (kulia) waliotumwa na kiongozi wao wamkamate na kundi hilo waliokuja kumshambulia kwa lengo la kumkamata
 Mwenyekiti wa Kikundi cha Kilakala Sports Club, Hussen Simba akifafanua jambo katika Mkutano huo
 Baadhi ya Viongozi wakiwa wamesimama wakati walipo tambulishwa katika Mkutano huo


  Mjanamali Ndey akitoa burudani ya sarakasi wakati wa mkutano wa uzinduzi wa maadhimisho ya kutimiza miaka mitatu kikundi cha Kilakala clup





  Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye ni Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es es Salaam, Abbas Mtemvu (wapili kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa  Kikundi cha Kilakala Club,  Hussen Simba (kulia), sh. 400,000 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya michezo wakati wa mkutano wa uzinduzi wa maadhimisho ya kutimiza miaka mitatu, Dar es Salaam. Wakwanza kulia ni Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amiry Bakari 'Osama'

 Wananchi wakishuhudia shoo wakati wa Uzinduzi huo










Mtemvu ajira Njenje

Nawashukuru sanasana mwenyekiti seba na mkufunzi na timu yake ya vijana na wote kwa ujumla nashukuru kwa kunialika   kwakunikumbuka kama kamanda kwakupewa taarifa ya wito wa kushirikishereshe yenu ya kutimiza miaka mitatu tunawapongeza sanasana labda nianze kusema  machache, Kilakala Sports Club jambomliloamua ni jambo muhimu na jambohili linaajira nyingi lakini ni jinsigani mtajipanga vipi na kufungua kampuni kubwa ya ulinzi na mimi nitawashawishi huko na mimi nitawasaidia huko na kufanya usajili ili iwekampuni yaulinzi na kuingiza kipato kwa wingi lakini jingine wale watu wazima wenye umri kuanzia miaka 20 na 40 wale mabachela tutaongea na viongozi kama wananafasi na afya nzuri tutawapeleka Dubai pale kunaajira kubwa wakafanye kazi nawao waweze kuongeza kipato ili waweze kusaidia kikundi chenu lakini hili mlilolifanya ni ajira ajira zinazo semwa na mzee magufuli nyie hapa mnaajira lakini hamjajua ni jinsi gani ya kutumia lakini tutasaidiana. na vifaa nitawasaidia

No comments: