Tangazo

January 30, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AONGOZA ‘MBIO ZA HAPA KAZI TU’ DODOMA HALF MARATHON

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za  Wabunge  Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon zilizoanzia Bungeni hadi uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari  30, 2016. Kushoyo kwake ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na  Michezo, Nape Nnauye na kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia  Ackson. Mwansasu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Washiriki wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon wakishiriki mmbio hizo mjini Dodoma Januari 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Mbulu  Vijijini,Fratei Massay akifanya mazoezi kabla ya kuanza mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari  30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya Pikipiki mshindi wa kwanza upande wa wanawake wa Mbio za Hapa Kazi Tu  Dodoma Half Marathon, Angela Davile (kulia) kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: